Haya ni baaya ya mbunge wa mvita Abdulswamd Sharrifnassir alipokuwa akiwapongeza maafisa wa polisi kuwanasa na kuwauwa watu wawili aliosemekana kuelekekea katika banda la ferry wakiwa na nia ya kulipua eneo hilo kwani walikuwa wamebeba vilipuzi.
| Abdulswamad katika eneo la uhalifu |