Kikundi cha wanawake Rescue Mothers na vijana wa eneo bunge la Jomvu , liapa kutoshiriki katika
kura ya maoni inayoitishwa na muungano
wa upinzani, kwa kudai kutopata usaidizi ya aina yoyote tangu kuchanguliwa kwa viongozi hao
hawajapata maendeleo yoyote katika eneo hilo
Kulingana na mwenyekiti wa kikundi
hicho Jamila Viled amesisitiza kutothubutu kushiki wasipobadilika kwani eneo hilo limetengwa licha ya
kuwa na idadi kubwa ya kina mama wajane, watoto yatima,walemavu pamoja
na watu wanaoishi na virusi vya ukimwi.
Vilevile Kina mama hao aidha
wamelalama kupitia maisha magumu huku watoto wao wakisalia majumbani bila
kuenda shule licha ya fedha za basary kutolewa,huku watoto wao waliomaliza
shule wakiwa hawana ajira.
No comments:
Post a Comment