Maafisa wa usalama wametakiwa
kukabiliana na wahalifu wanaotumia majina ya makundi Fulani kufanya ugaidi na
kuwahangaisha wananchi katika eneo la pwani.
Katibu mkuu wa baraza la ushauri ya
waislamu nchini Ibrahim Hussen
kuhakikisha swala hilo kutokana na majambazi hao kutumia makundi kama alhsabab
na MRC kujificha kuangaisha wananchi. Vilevile amewataka mashirika yasio kuwa
yakiserikali kuungana mkono na polisi wakitoa amri yatotaka wananchi kutoka
nyakati za usiku.
Haya yalijiri baada ya kamishna wa polisi kaunti ya Mombasa Nelson Marwa
kutoa amri ya watu kutotoka nnje alipokuwa akiwautubia wananchi waliokuwa
wamejawa na ghadhabu baada ya mahakama kutoa amri ya kutotoka njee nyakati ya
usiku.
No comments:
Post a Comment