Mwakilishi wa muungano wa walipa
ushuru eneo la Pwani Kennedy Mganga
ameitaka serikali na viongozi kutambua bado hawaja afikia mtakwa ya
wananchi kufatia ahadi zao waliotoa wakati wa uchaguzi mkuu uliopita.
Amesistiza kuwa asilimia tisini na
tisa ya miradi iliopendekezwa na wananchi haijatekelezwa hadi kufikia wakati
huu licha ya kuwa wakati mwingi umetupa kisogo.
Haya yote yalijiri baada ya wapwani
kusoma bajeti zao na baadhi ya wananchi kuusika kupendeza miradi yao mashinani.
Kwaupande wa wadadisi ya mambo ya
maendeleo katika kauti ya pwani wamekiri kuwa bajeti ya mwaka 2013-2014
hayajafanyiwa kazi .
No comments:
Post a Comment