Saturday, July 26, 2014

UHALIFU

Wakaazi wa kaunti ya mombasa wameonywa kutoeneza uchochezi dhini ya mauwaji yaliofanyika eneo la likoni ferry ngambo ya pili wa kisiwani

Haya ni baaya ya mbunge wa mvita Abdulswamd Sharrifnassir alipokuwa akiwapongeza maafisa wa polisi kuwanasa na kuwauwa watu wawili aliosemekana kuelekekea katika banda la ferry wakiwa na nia ya kulipua eneo hilo kwani walikuwa wamebeba vilipuzi.

Abdulswamad katika eneo la uhalifu

No comments:

Post a Comment