Saturday, July 26, 2014

NYOTA



NYOTA NDOGO


 





Wiki moja tu baadae ya kurejea kwa mwanamziki maarufu wa pwani nyota ndogo kutoka Marekani alikokua ameenda kutumbuiza katika sherehe ya Smithsonian,anajitayarisha kutoka inchini kwa matumbuizo mengine ulaya.

Akiongea na amishmish.blogspot.com mtengezaji wa nyimbo ya watuna viatu  amesema kuwa  anajitayarisha na anatarajiwa kusafiri kwenda Nairobi kuchukua cheti chake cha kusafiri mwisho wa wiki hii.

No comments:

Post a Comment